donate hand SUPPORT THE MINISTRY

LAST HOUR MINISTRIES BOOKS

Available in Paperback and Hardcover

Hubiri kwa Ujasiri Cover

Hubiri kwa Ujasiri

Msaada kwa Kuhubiri, Kufundisha, Kuifahamu Biblia

Je! unataka kujua? Kwa nini? Wapi? Katika mazingira gani? Lini, mwaka gani? Kwa kusudi gani? Watu mashuhuri? Akina nani? Sehemu muhimu? Mstari Mkuu? Ilikuaje? Katika kila kitabu cha Biblia? Kitabu hiki kinajibu maswali haya yote kwa muhtasari ulio wazi na rahisi kuelewa.

    Sample PDF     Paperback     Hardcover

ujumbe kwa ajili yako-cover

Ujumbe kwa Ajili Yako

Hatima ya Kanisa Siku Hizi za Mwisho

Kitabu hiki kimejenga hoja ya Ujumbe kwa Ajili Yako kwenye msingi wa neno la Mungu. Ujumbe kwa Ajili yako imelenga kukusaidia wewe Mkristo ujue nini cha kufanya katika siku hizi za ukingoni. Mkristo ambaye ni mwili wa Kristo (kanisa) unapaswa kujua mambo kadhaa. Mambo hayo ni pamoja na sababu za wakristo kuyahama makanisa yao, namna ya kutatua migogoro ya ndoa, kwenda na wakati na mengineyo.

    Sample PDF     Paperback     Hardcover

mambo yanayotuhusu cover

Mambo Yanayotuhusu

Msaada kwa kanisa na watu wote

"MAMBO YANAYOTUHUSU" inazungumzia maeneo matatu muhimu katika maisha ya mkristo ambayo yatupasa kuyajua. Nayo ni maombi, utoaji pamoja ma ibada zetu. Askofu Nungwana alikuwa na uzito moyoni mwake wa kuandika kitabu hiki na kuliachia kanisa akijua muda wake, pamoja na kazi yake hapa duniani imefikia kikomo. Hiki ni moja ya kitabu chake cha mwisho.

    Sample PDF     Paperback     Hardcover

ujumbe kwa ajili yako-cover

A Hidden Side of Africa

A True Story of a Man who was Once a Sorcerer

Born and raised in witchcraft, Biko knew no other way of life than that of sorcery. This was part of his inheritance – given as a gift - from both his father and grandfather. In this book, Biko invites us to see his world, the spirit world from a sorcerer’s perspective. Consequently, he lifts the veil that separates the natural world from the spiritual world as he narrates his story. He did not choose this life; this life chose him.

    Sample PDF     Paperback
Top